Ufafanuzi wa istiskaa katika Kiswahili

istiskaa

nominoPlural istiskaa

Kidini
  • 1

    Kidini
    sala maalumu ya Waislamu inayosaliwa wakati wa kutaka kuomba mvua inyeshe wakati wa ukame nchini.

Asili

Kar

Matamshi

istiskaa

/Istiska:/