Ufafanuzi msingi wa ita katika Kiswahili

: ita1ita2ita3

ita1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  taja jina la mtu au ashiria.

  guta

Matamshi

ita

/Ita/

Ufafanuzi msingi wa ita katika Kiswahili

: ita1ita2ita3

ita2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  ambia mtu aje ulipo kwa kutaja jina lake au kwa njia nyingine za mawasiliano; amkua.

Matamshi

ita

/Ita/

Ufafanuzi msingi wa ita katika Kiswahili

: ita1ita2ita3

ita3

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  alika mtu kwako.

  ‘Ita watu nyumbani’

Matamshi

ita

/Ita/