Ufafanuzi wa ithibati katika Kiswahili

ithibati

nominoPlural ithibati

  • 1

    jambo au kitu kinachodhihirisha ukweli wa dai.

    ‘Tendo la ithibati’
    ushahidi

Asili

Kar

Matamshi

ithibati

/Iθibati/