Ufafanuzi wa itibari katika Kiswahili

itibari

nomino

  • 1

    kuaminiwa kwa mkopo au deni.

    ‘Hakuna itibari siku hizi, wenye maduka hawakubali kutukopesha’
    muamana

Asili

Kar

Matamshi

itibari

/Itibari/