Ufafanuzi msingi wa itifaki katika Kiswahili

: itifaki1itifaki2

itifaki1

nominoPlural itifaki

  • 1

    masikilizano katika jambo.

    maafikiano

Asili

Kar

Matamshi

itifaki

/Itifaki/

Ufafanuzi msingi wa itifaki katika Kiswahili

: itifaki1itifaki2

itifaki2

nominoPlural itifaki

  • 1

    utaratibu maalumu unaotumiwa, agh. na maofisa wa serikali, katika shughuli rasmi.

    protokali

Asili

Kar

Matamshi

itifaki

/Itifaki/