Ufafanuzi wa itilo katika Kiswahili

itilo

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba nene katika vyombo vya majini zitokazo kwenye ncha zote mbili za foromali mpaka kwenye mlingoti.

    baraji, amrawi

Matamshi

itilo

/ItilÉ”/