Ufafanuzi wa jaala katika Kiswahili

jaala

nomino

  • 1

    mambo anayofanya mtu kwa uwezo wake Mungu.

    majaliwa

Asili

Kar

Matamshi

jaala

/ʄa:la/