Ufafanuzi wa jaaza katika Kiswahili

jaaza

nominoPlural jaaza

  • 1

    nguvu zinazosadikiwa kutawala matukio yote bila kipingamizi chochote.

Asili

Kar

Matamshi

jaaza

/ʄa:za/