Ufafanuzi msingi wa jabari katika Kiswahili

: Jabari1jabari2

Jabari1

nomino

 • 1

  sifa za Mwenyezi Mungu katika ufalme wake.

 • 2

  mtawala mkuu wa pekee.

Asili

Kar

Matamshi

Jabari

/ʄabari/

Ufafanuzi msingi wa jabari katika Kiswahili

: Jabari1jabari2

jabari2

nomino

 • 1

  shujaa
  and → jagina

 • 2

  mtu mwenye tabia ya ujeuri.

  mjeuri

Asili

Kar

Matamshi

jabari

/ʄabari/