Ufafanuzi wa jadi katika Kiswahili

jadi

nominoPlural jadi

 • 1

  asili ya mtu anakotoka; kizazi cha mtu.

  ‘Tuna jadi moja’
  ‘Mafunzo ya jadi’
  ‘Ngoma za jadi’
  nasaba, ukoo

Asili

Kar

Matamshi

jadi

/ʄadi/