Ufafanuzi wa jadiliana katika Kiswahili

jadiliana

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya mazungumzo na.

Asili

Kar

Matamshi

jadiliana

/ʄadilijana/