Ufafanuzi wa jagi katika Kiswahili

jagi

nominoPlural majagi

  • 1

    chombo mfano wa gudulia kinachotumiwa kutilia vitu viowevu k.v. maji au maziwa.

Asili

Kng

Matamshi

jagi

/ʄagi/