Ufafanuzi wa jaha katika Kiswahili

jaha

nomino

  • 1

    cheo kikubwa.

    heshima, utukufu

  • 2

    bahati

Asili

Kar

Matamshi

jaha

/ʄaha/