Ufafanuzi msingi wa jahabu katika Kiswahili

: jahabu1jahabu2

jahabu1

nomino

  • 1

    mahali pa kupandishia majahazi nchi kavu.

    gudi

Asili

Kar

Matamshi

jahabu

/ʄahabu/

Ufafanuzi msingi wa jahabu katika Kiswahili

: jahabu1jahabu2

jahabu2

kitenzi elekezi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    pandisha chombo nchi kavu kwa ajili ya kutengenezwa.

Asili

Kar

Matamshi

jahabu

/ʄahabu/