Ufafanuzi wa jahanamu katika Kiswahili

jahanamu

nominoPlural jahanamu

Kidini
  • 1

    Kidini
    makazi maalumu huko ahera kwa binadamu waliomwasi Mungu kama wanavyosadiki waumini wa dini.

    motoni, jahimu

Asili

Kar

Matamshi

jahanamu

/ʄahanamu/