Ufafanuzi wa jahazi katika Kiswahili

jahazi

nominoPlural majahazi

  • 1

    chombo cha baharini kilichoundwa kwa mbao, cha kuchukulia abiria na bidhaa.

Asili

Kar

Matamshi

jahazi

/ʄahazi/