Ufafanuzi wa jaja katika Kiswahili

jaja

nominoPlural jaja

  • 1

    mmea unaotoa maua madogo ya manjano na samawati.

Matamshi

jaja

/ʄaʄa/