Ufafanuzi wa jakamoyo katika Kiswahili

jakamoyo

nominoPlural jakamoyo

  • 1

    usumbufu wa rohoni.

    ‘Usinitie jakamoyo wakati huu’
    mfadhaiko, wasiwasi, muwako, fukuto

Matamshi

jakamoyo

/ʄakamɔjɔ/