Ufafanuzi wa jaketi katika Kiswahili

jaketi

nominoPlural majaketi

  • 1

    koti fupi lenye mikono mirefu ambalo agh. huachwa wazi, na mbele lina vishikizo au zipu.

Asili

Kng

Matamshi

jaketi

/ʄakɛti/