Ufafanuzi wa jalada katika Kiswahili

jalada

nominoPlural majalada

  • 1

    karatasi ngumu inayofunika kitabu ambapo jina la kitabu huandikwa.

    gamba

  • 2

    kitu cha kutilia na kupangia barua au karatasi nyingine kwa mpango maalumu.

    faili

Asili

Kar

Matamshi

jalada

/ʄalada/