Ufafanuzi wa jali katika Kiswahili

jali

kitenzi elekezi

  • 1

    hisi kwamba unahusika na mtu au kitu; tia maanani.

    ‘Usilijali jambo hili lipuuze’
    abiri, tahadhari, bali

  • 2

    heshimu, tii, stahi

Asili

Kar

Matamshi

jali

/Ê„ali/