Ufafanuzi msingi wa jalia katika Kiswahili

: jalia1Jalia2

jalia1 , jaalia

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~sha, ~wa

 • 1

  fanya iwezekane.

  ‘Mungu akitujalia uhai tutaonana’
  saidia, wezesha

Asili

Kar

Matamshi

jalia

/ʄalija/

Ufafanuzi msingi wa jalia katika Kiswahili

: jalia1Jalia2

Jalia2

nominoPlural Jalia

kishairi
 • 1

  kishairi Mwenyezi Mungu.

  Jalali

Asili

Kar

Matamshi

Jalia

/ʄalija/