Ufafanuzi msingi wa jalidi katika Kiswahili

: jalidi1jalidi2jalidi3

jalidi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  tia jalada kitabu.

Asili

Kar

Matamshi

jalidi

/ʄalidi/

Ufafanuzi msingi wa jalidi katika Kiswahili

: jalidi1jalidi2jalidi3

jalidi2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  piga mkosaji kwa mjeledi, hinzirani, kiboko au fimbo.

Asili

Kar

Matamshi

jalidi

/ʄalidi/

Ufafanuzi msingi wa jalidi katika Kiswahili

: jalidi1jalidi2jalidi3

jalidi3

nominoPlural jalidi

 • 1

  umande ulioganda kwa baridi.

 • 2

  baridi kali.

Asili

Kar

Matamshi

jalidi

/ʄalidi/