Ufafanuzi wa jaliko katika Kiswahili

jaliko

nominoPlural majaliko

  • 1

    tendo la kukaribisha.

    mwito

  • 2

    kikundi cha wanawake wanaoalika harusi au jambo jingine la sherehe.

Matamshi

jaliko

/ʄalikɔ/