Ufafanuzi wa jalili katika Kiswahili

jalili

kivumishi

  • 1

    -enye kuheshimika.

    tukufu, aali, adhimu

Asili

Kar

Matamshi

jalili

/ʄalili/