Ufafanuzi wa jamanda katika Kiswahili

jamanda

nominoPlural majamanda

  • 1

    kikapu chenye mfuniko cha kuwekea vitu; sanduku la miyaa.

Asili

Kar

Matamshi

jamanda

/ʄamanda/