Ufafanuzi wa jamani! katika Kiswahili

jamani!, jama!

kiingizi

 • 1

  neno la kutaka usikivu wa watu.

  ‘Jamani msinionee’
  nyungwa!, enyi!

 • 2

  neno la kuonyesha mshangao.

  ‘Jamani, wamenivunjia nyumba yangu!’

Matamshi

jamani!

/ʄamani/