Ufafanuzi wa jambia katika Kiswahili

jambia

nominoPlural majambia

  • 1

    silaha ya kisu kipana kilichopeteka nchani ambacho huvaliwa kwa kupachikwa kwenye nguo tumboni.

    hanjari

Asili

Kaj

Matamshi

jambia

/ʄambija/