Ufafanuzi wa jambwe! katika Kiswahili

jambwe!

kiingizi

  • 1

    tamko la kejeli.

    ‘Ee jambwe endelea kufanya ijapokuwa siafikiani nawe’

Matamshi

jambwe!

/ʄambwɛ/