Ufafanuzi wa jamhuri katika Kiswahili

jamhuri

nomino

  • 1

    nchi huru inayotawaliwa na Rais anayechaguliwa na wananchi.

    ‘Jamhuri ya Muungano’

Asili

Kar

Matamshi

jamhuri

/Ê„amhuri/