Ufafanuzi msingi wa jamii katika Kiswahili

: jamii1jamii2jamii3

jamii1

kitenzi elekezi

 • 1

  ingilia mwanamke.

  tomba, undama

Matamshi

jamii

/ʄami:/

Ufafanuzi msingi wa jamii katika Kiswahili

: jamii1jamii2jamii3

jamii2

nomino

 • 1

  watu wenye kitovu kimoja.

  mbari

 • 2

  mkusanyiko wa watu au vitu.

  ‘Jamii ya watoto’

Matamshi

jamii

/ʄami:/

Ufafanuzi msingi wa jamii katika Kiswahili

: jamii1jamii2jamii3

jamii3

kielezi

Matamshi

jamii

/ʄami:/