Ufafanuzi wa jamiiana katika Kiswahili

jamiiana

kitenzi sielekezi

  • 1

    kukutana kwa watu wawili wa jinsia tofauti na kufanya tendo la ndoa.

  • 2

    undamana.

    fanyana, kazana, lalana

Asili

Kar

Matamshi

jamiiana

/ʄami:jana/