Ufafanuzi msingi wa jana katika Kiswahili

: jana1jana2

jana1

nominoPlural jana, Plural majana

  • 1

    siku kabla ya leo.

Matamshi

jana

/ʄana/

Ufafanuzi msingi wa jana katika Kiswahili

: jana1jana2

jana2

nominoPlural jana, Plural majana

  • 1

    buu la nyuki.

Matamshi

jana

/ʄana/