Ufafanuzi wa janga katika Kiswahili

janga

nominoPlural majanga

  • 1

    tukio la hatari linalosababisha taabu na maafa.

    kisanga, balaa, zani

Matamshi

janga

/ʄanga/