Ufafanuzi wa janguo katika Kiswahili

janguo

nominoPlural majanguo

 • 1

  msimu au kipindi cha kuangua nazi zilizokauka, kwa kawaida huwa mara nne kwa mwaka.

  ‘Janguo limefika lakini wakwezi sina’

 • 2

  uangushaji wa nazi.

 • 3

  mshahara

Matamshi

janguo

/ʄanguwɔ/