Ufafanuzi wa jani katika Kiswahili

jani

nomino

  • 1

    sehemu ya mti inayomea katika vitawi vyake.

  • 2

    mmea wa nyasi.

Asili

Kar

Matamshi

jani

/Ê„ani/