Ufafanuzi wa jaribosi katika Kiswahili

jaribosi

nominoPlural jaribosi

  • 1

    madini mfano wa karatasi au zari ambayo hutumiwa na baadhi ya wanawake kuwa ni mapambo ya kutia kwenye pete.

Asili

Kar

Matamshi

jaribosi

/ʄaribɔsi/