Ufafanuzi wa jarida katika Kiswahili

jarida

nominoPlural majarida

  • 1

    gazeti kama kitabu lenye makala mbalimbali ya kitaaluma linalotolewa kila baada ya muda fulani; gazeti lenye kushughulikia mada moja.

    ‘Jarida la wanawake’

Matamshi

jarida

/ʄarida/