Ufafanuzi wa jasisi katika Kiswahili

jasisi

kitenzi elekezi

  • 1

    tafuta kwa makini; fanya ujasusi.

    duhusi, dukiza, peleleza, doya

Asili

Kar

Matamshi

jasisi

/Ê„asisi/