Ufafanuzi msingi wa jaza katika Kiswahili

: jaza1jaza2

jaza1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

Kidini
 • 1

  Kidini
  lipa kwa kitendo chema kama anavyofanya Mwenyezi Mungu; -pa thawabu.

  ‘Mungu amemjaza mengi’

 • 2

  Kidini

  jaliza

Asili

Kar

Matamshi

jaza

/ʄaza/

Ufafanuzi msingi wa jaza katika Kiswahili

: jaza1jaza2

jaza2 , jazi

nominoPlural jaza

 • 1

  Kidini

 • 2

  Kidini
  mamlaka waliyopewa walimu wa dini kusoma mbele ya wengine k.m. kuwaombea watu kabla ya kufanya kitendo fulani.

 • 3

Asili

Kar

Matamshi

jaza

/ʄaza/