Ufafanuzi wa je katika Kiswahili

je

kiingizi

  • 1

    neno la kuanzia swali.

    ‘Je , hujambo?’
    ‘Je , ni halali?’

Matamshi

je

/ʄɛ/