Ufafanuzi wa jedwali katika Kiswahili

jedwali

nominoPlural majedwali

 • 1

  orodha ya maelezo juu ya mambo fulani kadiri yatakavyofuatana na nyakati zake.

  chati

 • 2

  orodha ya hesabu za kuzidisha.

  ‘Hifadhi jedwali la tatu’
  tebo

Asili

Kar

Matamshi

jedwali

/ʄɛdwali/