Ufafanuzi wa jekejeke katika Kiswahili

jekejeke

nominoPlural jekejeke

 • 1

  utokaji wa jasho.

 • 2

  joto, fukuto

 • 3

  ‘Kuona jekejeke’
  udhia, msukosuko

Matamshi

jekejeke

/ʄɛkɛʄɛkɛ/