Ufafanuzi wa jeki katika Kiswahili

jeki

nomino

  • 1

    mtambo wa kuinulia vitu vizito.

    gulamu

Asili

Kng

Matamshi

jeki

/ʄɛki/