Ufafanuzi wa jemadari katika Kiswahili

jemadari

nomino

  • 1

    ofisa mkuu wa majeshi.

    amiri

Asili

Khi / Khs

Matamshi

jemadari

/ʄɛmadari/