Ufafanuzi wa jengeka katika Kiswahili

jengeka

intransitive verb

  • 1

    jengwa vizuri na kwa ufundi mkubwa.

Matamshi

jengeka

/ʄɛngɛka/