Ufafanuzi wa jengua katika Kiswahili

jengua

kitenzi elekezi

  • 1

    vunja kitu kilichojengwa.

    bomoa

Matamshi

jengua

/ʄɛnguwa/