Ufafanuzi wa jeni katika Kiswahili

jeni

nominoPlural jeni

  • 1

    ruwaza ya kemikali ndani ya seli ambayo hubeba taarifa kuhusu sifa za kimaumbile zinazorithishwa kwa kiumbehai kutoka kwa wazazi wake.

Asili

Kng

Matamshi

jeni

/ʄɛni/