Ufafanuzi wa jeshi katika Kiswahili

jeshi

nominoPlural majeshi

 • 1

  jumla ya askari wanaoajiriwa kulinda nchi.

  ‘Jeshi la polisi’
  ‘Jeshi la wanamaji’
  ‘Jeshi la anga’
  ‘Jeshi la kujenga taifa’

 • 2

  jamii ya watu; watu wengi; wingi wa watu.

Asili

Kar

Matamshi

jeshi

/ʄɛ∫i/