Ufafanuzi wa jeti katika Kiswahili

jeti

nominoPlural jeti

  • 1

    eropleni yenye injini ambayo huifanya iende kwa kasi sana.

Asili

Kng

Matamshi

jeti

/ʄɛti/